Social Icons

Wednesday, May 11, 2011

MISS KAGERA YAZINDULIWA

Miss Tanzania 2010-2011, Genevive Mpangala, akipokewa kwa shangwe uwanja wa ndege wa mjini Bukoba, wakati alipofika kwa ajili ya kuhudhuri uzinduzi wa shindano la Miss Kagera. Shindano hilo linatarajia kufanyika Juni 10 mwaka huu katika ukumbi wa Linaz Club uliopo karibu kabisa na Magereza.


Shindano hilo limedhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi, Vodacom, Reds, Cocacola Nyanza Bottles, Michuzi Blog, Vision Fm ya mjini Bukoba, Kasibante Fm ya mjini Bukoba, mama Nice saluni na wengine wengi.

Genevive, akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Genevive, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania, pamoja na waandaaji wa shindano hilo.

0 comments: