Kocha wa Bafana Bafana, Pisto Mosimane, akiongea jambo kwa wanahabari.
Kocha wa Timu Afrika Kusini Bafana Bafana,Pisto Mosimane, mapema leo ameongelea jinsi alivyo jipanga kwa mechi ya kesho zidi ya timu ya Taifa Taifa Stars.
Akizungumza mbele ya Waandishi wa habari Mosimane, alisema kuwa kutokana na timu yake ilivyojipanga mchezo wa kesho atashinda.
Kocha mkuu wa timu ya Taifa Taifa Stars, Jan Paulsen, naye akielezea machache kuhusu mchezo wa kesho.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakichukua rekodi za tukio hilo.
0 comments:
Post a Comment