Social Icons

Friday, May 13, 2011

NGASA AONGELEA UWEPO WAKE AZAM FC


Mwenyekiti wa timu hiyo Said Mohamed, akiongea jambo kwa wanahabari.

MCHEZAJI wa timu ya Azam FC Mrishi Harufan Ngassa, mapema leo ameongelea juu wa uwepo wake katika timu hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Timu hiyo, Barabara ya Nyerere Road, Mrisho alisema kuwa jana alikaa na uongozi wa timu yake na kuelezwa baadhi ya taratibu na mikakati waliyonayo kwa kipindi hiki cha usajili.

Mrisho, aliongeza kuwa kwa sasa hana uwezo wa kuhama katika timu hiyo, hadi atakapo maliza mkataba wake wa miaka miwili iliyobaki na kwamba kwa sasa hatakuwa na ruksa ya kuongea na mtu yoyote juu ya usajili.


Mrisho Ngassa (katikati), akiongea jambo mbele ya Waandishi wa habari.

0 comments: