Social Icons

Saturday, May 21, 2011

JK AONGOZA MAZIKO YA SHEIKH YAHYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mrisho Jakaya, ameongoza maelefu ya wakazi wa jiji la Dar es salaam katika maziko ya mnajimu maarufu wa Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussien. Maziko yamefanyika jioni hii katika makaburi ya Tambaza, Muhimbili.

Mh. Rais akiweka mchanga kaburini


...msafara wa waombolezaji uliojitokeza katika mazishi ukibeba jeneza la marehemu kuanzia Magomeni Mwembechai hadi msikiti wa Manyema Kariakoo na kisha Tambaza makaburini kwa miguu na hawakutaka jeneza lake libebwe kwa gari! Mungu ailaze roho ya marehemu peponi - Amin

0 comments: