
Akichezesha taya na safu hii maeneo ya Kijitonyama, Dar es Salaam juzikati, Husein Machozi alisema ilikuwa ni siku mbaya na ya aibu kwake kwani mwanamke aliyefumaniwa naye hakuwa chaguo lake la moyo.
“Dah! Ilikuwa ni pande za Mwanza, siku hiyo shori fulani (hakutaka kumtaja) aliniingiza ndani kwake, kabla ya kufanya chochote ghafla demu wangu na kampani yake walizama ndani kunifumania,”alisema jamaa huyo.
Hata hivyo, ‘soo’ lilimalizika kiaina kwani demu wake wa zamani aliamua kuwa mpole na hadi leo wanaishi wote na wamezaa mtoto mmoja wa kike anayeitwa Zakia.
0 comments:
Post a Comment