Mashabiki wa Bendi ya Extra Bongo wakiserebuka katika onyesho lililofanyika katika Ukumbi wa Meeda uliopo Sinza jijini Dar.
Wanamuziki wa Mapacha 3 Kharidi Chokoraa, Jose Mara na Kalala Jr wakiimba na kunengua pamoja katika onyesho lililofanyika katika ukumbi wa Sterio uliopo Kinondoni
Mwanamuziki mpya wa bendi ya Extra Bongo Banza Stone (kushoto) akiimba sambamba na kiongozi wa bendi hiyo, Ally Choki.
Mashabiki wa Bendi ya Akudo Impact wakiserebuka katika onyesho lililofanyika katika Ukumbi wa Mango Garden usiku wa kuamkia leo.
Shabiki alishindwa kuvumilia na kulivamia jukwaa kuserebuka sambamba na wanamuziki wa Extra Bongo
0 comments:
Post a Comment