skip to main |
skip to sidebar
VODACOM WAKUTANA NA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Rais wa Uganda Yoweri Kabuta Museven, akisalimiana na Mkuu wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba, wakati rais huyo na wakuu wengine wa Jumuiya za Afrika Mashariki, walipokutana na wafanyakazi wa Kampuni ya simu za mkononi Vodacoma Tanzania.
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na wafanyakazi hao wa Vodacom.
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo ya Vodacom kwa ajili ya kumbukumbu.
0 comments:
Post a Comment