skip to main |
skip to sidebar
LADY JAY DEE ATUA NORWAY TAYALI KWA SHOO
Lady Jay Dee akiwawasili Uwanja wa Ndege wa Amsterdam jana kuelekea Norway tayali kwa shoo babu kubwa iliyoandaliwa nchini hapo na moja wa mapromota wake, pichani,Jay Dee, akiwa na mwenyeji wake.
... akiwa na maua muda mfupi baada ya kutpewa uwanjani hapo.
0 comments:
Post a Comment