Mhariri wa gazeti la Amani Mohamed Kuyunga (katikati), akibadirishana mawazo na Chalz Baba muda mfupi kabla ya kupata chakula. Chalz Baba, akiombea chakula hicho muda mfupi kabla ya kuanza kukitumia. Chalz Baba (kulia), akigonga menu na mrembo. Mateja, wa pili (kushoto), akibadirishana mawazo na Chalz Baba wa pili (kulia), muda mfupi baada ya kumaliza kugonga msosi na warembo hao hotelini hapo,
MWIMBAJI mahili wa bendi ya The African Stars International 'Twanga Pepeta Kisima cha Burudani' Charles Gabriel 'Chalz Baba' mapema leo amepata fursa ya kujiachia na mrembo ndani ya hotel ya The Atriums iliyopo Sinza Afrikasana jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment