mashabiki wa Chelsea wakiwa wamepozi kwenye picha ya pamoja.
Mmoja wa waratibu wa Serengeti Fiesta soka bonanza, Abdull akiwa kwenye mchakato mzima mapema hii asubuhi jijini Mwanza tukielekea CCM Kirumba.
Jeshi la polisI limetoa msaada mkubwa kwenye maandamano haya ya Serengeti Fiesta Soka Bonanza katika suala la zima la usalama barabarani, kama umuonavyo askari huyu wa usalama barabarani akitoa eskoti kwenye maandamano hayo mapema leo asubuhi jijini Mwanza.
Haaa haaaa utamtaka,mshabiki wa Chelsea akisuburi maandamano
Mmoja wa wafanyabiashara akiwa amesimama barabarani akishangaa maandamano ya Serengeti Fiesta Soka Bananza
Golden Moment ya dereva Tax huyu ni pale alipokutana na mratibu wa Serengeti Fiesta Soka Bonanza 2011,Shafii Dauda na kumpa kibeji cha Man U atie saini yake kama uonavyo pichani.
Askari wa usalama wa Barabarani akitoa muongozo.
Mmoja wa wafanyabiashara akiwa amesimama barabarani akishangaa maandamano ya Serengeti Fiesta Soka Bananza yakipita barabarani kutoka uwanja wa Nyamagana na kuelekea
uwanja wa CCM-Kirumba.
0 comments:
Post a Comment