Social Icons

Thursday, March 24, 2011

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA UTURUKI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini Dkt. Sander Gurbuz kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jana jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini, Dkt. Sander Gurbuz, Ofisini kwake jana jijini dar es salaam.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments: