

Katikati ni Bw. Cannon Luvinga mmoja kati ya washindi wa wiki iliyopita wa promosheni ya Bahatika na Tigo akibonyeza kitufe cha kompyuta ili kumchagua mshindi wa tatu wa gari wa promosheni hiyo. Anayefuata kushoto ni Hemed Abdallah, Mkaguzi toka bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania akisimamia droo hiyo na Afisa wa Tigo huduma za ziada Pamela Shelukindo. Wa kwanza kulia anaejiandaa kupiga simu kwa mshindi ni Afisa Uhusino wa Tigo, Jackson Mmbando. Droo hiyo ilichezwa juzi na Jaqueline Mambo kutoka Kilimanjaro aliibuka mshindi wa Nissan hardbody yenye thamani ya sh milioni 59.
0 comments:
Post a Comment