Social Icons

Saturday, March 26, 2011

STYLE MOTO MOTO

Mwandaaji wa Style Motomoto Khadija Mwanamboka akimtuza Gabriel Mollel kwa kuibuka mbunifu bora wa mwezi Machi wakati wa onesho la mavazi la Tanzania Mitindo House usiku wa kuamkia leo hoteli ya Double Tree jijini Dar Chini Mamodo wakionesha mitindo
Modo akiwa kazini
Mitindo

Miss TZ akionesha mitindo
Mamodo
MC wa siku
Maua kwa waalikwa

Ally Rehmtullah,Raqey na mai waifu wake.
Women Friends walikuwapo pia


WABUNIFU WALIKUWA GABRIEL MOLLEL,DIANA MAGESA,ESKADO BIRD NA MARTIN KADINDA. STYLE MOTO MOTO INADHAMINIWA NA VODACOM TANZANIA,REDD'S,QUICK PRINT,EVENTLITES,VAYLE SPRINGS,DOUBLE TREE BY HILTON,UNIQUE PEARL COLLECTION NA AMINA DESIGN

0 comments: