Wanamziki wa Msondo ngoma wakiwajibika jukwaani
Tamasha kubwa la Uzalendo lililoandaliwa na Global Publishers na Clouds Media limeanza saa tano asubui asubui ya leo na kuudhuliwa na umati mkubwa wa watu, Tamasha hilo ambalo hivi sasa linaendelea linatalajiwa kumalizika saa kumi na mbili jioni ya leo, vikundi vya mziki wa dansi, taarabu , sarakasi na wasanii wa kizazi kipya wataendelea kutoa burudani hadi saa hiyo. Picha zote na Issa Mnalliy.
Pamoja na Jua kuwa kali mashabiki walijitokeza kwa wingi kushuhudia tamasha hilo
Baadhi ya wanamziki wa Jahazi wakiimba pamoja
Hasani Moshi akiwa na Shabani Dede wa band ya Msondo ngoma wakiimba pamoja
Hemed Salam akinengua mbele ya mashabiki
Jukwaa kabla tamasha alijaanza
Mashabiki waliojitokeza kushuhudia tamasha hili wakilifuatilia kwa makini
Mnenguaji wa Msondo ngoma Mama Nzawisa akionyesha umaili wake wa kunengua
Wanamziki wa Jahazi wakitoa burudani katika Tamasha hilo
Wanamziki wa Msondo ngoma wakiwajibika jukwaani
Wanenguaji wa Jahazi Hemed Salim na Askofu Bato wakinengua
0 comments:
Post a Comment