Social Icons

Saturday, March 26, 2011

MELI YA JESHI LA WANAMAJI KUTOKA CHINA YAWASILI NCHINI LEO


MKUU wa msafara wa jeshi la wanamaji kutoka nchini China Afande Zhang Huachen (mwenye sare nyeupe katikati) akipokewa na mwenyeji wake, Mkuu wa Jeshi la maji nchini Meja Jerenali Said Shaban Omar mara baada ya kuwasili katika Bandari ya Dar-Es-Salaam
MKUU wa msafara wa jeshi la wanamaji kutoka nchini China Zhang Huachen akisalimia na Maafisa wa Jeshi la wanamaji wa hapa nchini mara baada ya kuwasili katika Bandari ya Dar-Es-Salaam
MKUU wa msafara wa jeshi la wanamaji kutoka nchini China Zhang Huachen akiwa na Mkuu wa Jeshi la wanamaji la hapa nchini Meja Jenerali Said Shaban Omar mara baada kupokelewa leo (jana) asubuhi katika Bandari ya Dar-Es-Salaam. Wakiwa hapa nchini jeshi hilo la wanamaji kutoka China
Raia wa nchini China waishio Tanzania wakiwa katika shamrashamra za kuipokea Meli za Kijeshi

0 comments: