Social Icons

Saturday, March 26, 2011

JIACHIE NA CAMERA YA MATEJA20

Baada ya kupiga mbizi vya kutosha sasa mapunziko kwenye bembea
Tutafanya vitu vyote lakini kwenye kula hakuna aibu
Mdau wa mateja20 akiwa katika pozi
Mazoezi kama haya lazima wanafunzi watakukimbia siku inayofuata
Kaka cheege vipi hapo..............

0 comments: