Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiagana na Waziri Mdogo wa Mambo ya Nje wa Marekani, Bw. Johnnie Carson baada ya mazungumzo rasmi kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam Leo.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Post a Comment
0 comments:
Post a Comment