Social Icons

Wednesday, February 9, 2011

WASOMI WA KUSINI KUFANYA TAMASHA BONGO

Mmoja wa wajumbe wa maandalizi ya tamasha hilo Ally Nanjasye akisitiza jambo katika mkutano na wanahabari. Kushoto ni msemaji wa tamasha hilo, Asanterabbi Mtaki.
WAKAZI wa jiji la Dar es Salaam waliosomea mikoa ya kusini wanatarajia kufanya tamasha kubwa hapa jijini kwa lengo la kuinua elimu mkoani humo. Msemaji wa tamasha hilo, Asanterabbi Mtaki amesema tamasha hilo litafanyika katikati ya mwezi Julai mwaka huu ambapo mahali litakapofanyika watatangaza baadaye.

0 comments: