Social Icons

Wednesday, February 16, 2011

MAMBO YA NJE YA MJENGO WA BUNGE DOM

Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Mheshimiwa Zitto Kabwe akibadilishana mawazo na waziri Kivuli, Viwanda na Biashara-Chadema, Lucy Owenya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma jana.

Mbunge wa Singida Mjini Mhe.Mohammed Dewji (CCM) akifurahi pamoja na Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana.

0 comments: