Social Icons

Tuesday, January 4, 2011

ZANTEL YAWAFARIJI WATOTO YATIMA WA BAGAMOYO

Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya simu za mkononi Zantel, Mayank Roy (wa pili kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Matukio wa Kampuni hiyo, Wiliam Mpinga (kulia) wakijumuika katika chakula cha pamoja na watoto Yatima wa Kituo cha Kids Care cha Bagamoyo mkoa wa Pwani, wakati walipofika kuwatembelea watoto hao na kuandaa chakula hicho maalumu kwa niaba ya Kampuni hiyo kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.

0 comments: