Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dk. Terezya Luoga akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanal Mstaafu Joseph Simbakalia na Mkuu wa Wilaya hiyo Mh. John Mongella baada ya Kuwasili Kwenye Uwanja wa Ndege Kigoma kwa Ziara ya Kukagua Miradi ya Ziwa Tanganyika leo.
Waziri wa nchi Ofisi ya makamu wa Rais Dk. Terezya Luoga akizungumza na viongozi wa mkoa wa kigoma mara baada ya kupata taarifa ya mradi wa ziwa Tanganyika kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kigoma leo.
0 comments:
Post a Comment