Unity Of Women Friends (UWF) kupitia mradi wake wa somesha mtoto wa kike (SOMKI), wamekutana na wanafunzi na wazazi kukabidhi Ada za shule. Shughuli hii ilifanyika ukumbi wa Russian Culture Centre leo saa tatu asubuhi. PICHANI: Project Coordinator Bi Maryam Shamo (Kushoto,) akifwatiwa na mwenyekiti wakiwakabidhi Fatma na Fatuma hundi ya milioni moja kwa ajili ya muhula wa kwanza.
Wanafunzi wanaodhaminiwa na UWF wakiwa na wazee wao.
Kikundi cha Unity Of Women Friends wakiwa na baadhi ya wanafunzi wanaowadhamini.
0 comments:
Post a Comment