Social Icons

Tuesday, January 18, 2011

WANAFUNZI WA CHUO CHA UWALIMU CHANG' OMBE WAGOMA

Baadhi ya wanafunzi hao wakiongea na mwandishi wa gazeti la Uwazi, Makongoro Oging’.
BAADHI ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Ualimu Chang' ombe, jijini Dar es Salaam, wamegoma kuingia madarasani kwa madai ya kucheleweshewa mikopo ambayo ilibidi wapewe Januari 15 mwaka huu.



……Wakiwa wamemzunguka mmoja wao aliyekuwa akiwapa ushauri.

……Wakiwa nje ya madarasa.

0 comments: