Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kuwaapisha kamishna wa tume za haki za binadamu na utawala bora, Bw. Ali Hassan Rajab (kushoto) na katibu wa tume hiyo Bi. Mary Massay (kulia) Ikulu jijini Dar es Salaam, asubuhi ya leo.
Rais Dk.Jakaya Kikwete leo amemwapisha rasmi kamishna wa tume za haki za binadamu na utawala bora pamoja na katibu wa tume hiyo.
Walioapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam Leo ni kamishna wa tume hiyo Bw Ali Hassan Rajab na katibu wa tume hiyo Bi. Mary Massay.
Picha na Freddy Maro-Ikulu
0 comments:
Post a Comment