Social Icons

Tuesday, January 18, 2011

CHOCOLATE PRINCESS NA MZIGO MPYA


Duka lenye vitu vya ukweli linalojulikana kwa jina la CHOCOLATE PRINCESS BOUTIQUE ambalo linapatikana pale Mikocheni maeneo ya TALK OF THE TOWN limefungua blog mpya, jipatie vitu vya ukweli kwa bei nafuu kabisa kuanzia mavazi ya wakinadada pamoja na wakina kaka na watoto pia kwa kipindi hiki kinachokwenda kwenye sikukuu.

Tembelea blog ya duka hilo ili kujionea vitu viavyouzwa na uchague unachokipenda.

Wasiliana nao kwa simu namba: +255 712 020272 / +255 773 787272

Kwa mengi zaidi pitia bloga yao kujionea mzigo uliopo na mambo mazuri kwa vijana mnajipenda mjini hapa!!http://www.chocolateprincessboutique.blogspot.com/

0 comments: