Social Icons

Friday, January 7, 2011

VYANDARUA VYAGAWIWA BURE MORO


Wananchi wa Kata ya Mji Mpya Manispaa ya Morogoro, wakiwa kwenye foleni kuchukua vyandarua.

KATIKA kile kinachoonekana kuwa hatua madhubuti za kupigana na ugonjwa wa malaria nchini, mtandao huu ulishuhudia kina mama na kina baba wakiwa kwenye foleni ya kuchukua vyandarua vyenye dawa vilivyokuwa vinagawiwa bure na serikali mchana wa leo katika Manispaa ya Morogoro.

Hafla hiyo ilifanyika Mtaa wa Ngoma 'A' Kata ya Mji Mpya.



Pichani ni baadhi ya wananchi wa Kata ya Mji Mpya waliofika kupewa vyandarua.

0 comments: