Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu kupanda kwa bei ya umeme na kesi ya Kampuni ya Umeme wa Dharula ya Dowans dhidi ya Tanesco. Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, David Jairo na Adam Malima ambaye ni Naibu Waziri wa wizara hiyo.
Friday, January 7, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment