skip to main |
skip to sidebar
BAISKELI HATARINI KUVUNJA SOKO LA BODA BODA
Baiskeli ni chombo ambacho kinatumiwa na watu wengi hasa vijijini lakini kwa sasa chombo hiki kimeonekana kuwa dili hata kwenye miji mikubwa kama ambavyo inaonekana hapa. Hizi ni baiskeli zipatazo 3000 zikiwa sokoni Manzese Tip Top, Jijini Dar kama ambavyo zimenaswa na kamera yetu.
0 comments:
Post a Comment