Meneja Ufundi wa Tigo wa Kanda ya Ziwa, Bernard Leonard (kushoto)
akikabidhi zawadi ya music system kwa mmoja wa wafanyakazi wa kitengo
cha mauzo wa kujitegemea, Makabwe HamzaAthumani wa Mkoa wa Kigoma
katika hafla ya wafanyakazi hao iliyofanyika mkoani Mwanza juzi.
Wengine ni baadhi ya maofisa wa kampuni hiyo.
Meneja Ufundi wa Tigo wa Kanda ya Ziwa, Bernard Leonard (kulia)
akikabidhi zawadi ya baiskeli kwa mmoja wa wafanyakazi bora wa
kitengo cha mauzo wa kujitegemea, Yohana Daudi Tendela wa Mkoa wa
Mwanza katika hafla ya wafanyakazi hao iliyofanyika Jijini humo juzi.
Wengine ni baadhi ya maofisa wa kampuni hiyo.
Wachezaji wa timu mchanganyiko kutoka mikoa ya Mwanza, Musoma
naTabora (kushoto) wakishindana kuvuta kamba na wa mikoa ya Shinyanga,
Kigoma na Bukoba katika bonanza la wafanyakazi wa Tigo wa kujitegemea
wa kitengo cha mauzo lililofanyika jijini Mwanza juzi. Timu ya Kigoma
iliibuka mshindi wa mchezo huo.
PICHA: PETER MGONGO/TIGO
0 comments:
Post a Comment