Mwakilishi kutoka Giraffe Hotel Bi Magret, akiongea na waandishi wa habari juu ya shindano hilo.
Warembo 10 watakaochuana katika shindano la kuibua Vipaji na mitindo liitwalo Unique Model, leo wametambulishwa kwa waandishi wa habari.
Utambulisho huo, umefanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Giraffe iliyopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Utambulisho huo, umefanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Giraffe iliyopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Warembo wakipita mbele ya waandishi wa habari.
Walimbwende hao wakiwa wamepozi kwa ajili ya kupigwa picha.
Hapa pia wakiwa katika pozi kusubiri kufotolewa picha.
0 comments:
Post a Comment