Social Icons

Wednesday, December 1, 2010

DIAMOND ATEMBELEA BBC UK

URBAN PULSE iliapata fursa nyingine ya kutembelea ofisi za BBC mjini London kwa ajili ya kupromote Urban Tour na Vita Dhidi ya Malaria kwa kushirikiana na msanii Diamond na Crew ya URBAN PULSE CREATIVE MEDIA. PICHANI Diamond (shoto) akifafanua jambo wakati akihojiwa na na Mtangazaji wa BBC, Idd Safe kuhusu Urban Tour

0 comments: