Wasanii wa kundi la Orijino Komedi wakitumbuiza katka maadhimisho hayo.
Wasanii wa kundi la Orijino Komedi, msanii wa maigizo nchini Umi Wenceslaus maarufu kwa jina la 'Dokii' pamoja na Wasanii wengine, leo wameipamba siku ya ukimwi duniani kwa kutoa burudani mbalimbali katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro, ambapo mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal.
...Orijino Komedi wakitumbuiza wimbo wa Rose Mhando wa 'Nibebe' mbele ya mgeni rasmi.
..... Komedi wakiendelea kushusha burudani uwanjani hapo.
....Joti akifanya vitu vyake.
Msanii Umi Wenceslaus maarufu kwa jina la 'Dokii' akitoa burudani kwa wananchi waliohudhuria maadhimisho hayo.
....Dokii akiwa stejini.
'Dokii' akitoa shoo pamoja na wasanii wa maigizo wa Mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment