Social Icons

Thursday, December 9, 2010

UZINDUZI WA ALBAMU YA YOUNG D’S WAVUTIA MASTAA KIBAO


Young D’s akikamua jukwaani.

MWANAMUZIKI chipukizi wa muziki wa Hip Hop nchini, David Mboli (Young D’s) usiku wa kuamkia leo amezindua albam yake mpya inayokwenda kwa jina la Young Rapper, ndani ya ukumbi wa New Maisha Club ulioko Masaki, jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na mastaa kibao wa muziki huo na washiriki wa shindano la Bongo Star Search (BSS) 2010.


Washiriki BSS wakiwa kwenye picha ya pamoja na wasanii mbali mbali wa THT.


Mwanamuziki Mataluma (kulia), akicheza kiduku na Bella Kombo wa BSS.


Mwanamuziki Khaleed Mohamed (TID) akifanya makamuzi yake katika uzinduzi huo.


Mwasiti Almas (katikati), akiwa kwenye pozi na Linah (kulia). Kushoto ni mmoja wa wanasanaa wa THT.


Dogo Ditto, mwanamuziki kutoka THT akishambulia jukwaa katika uzinduzi huo.


Mwanamuziki wa TMK Family ‘Chegge’ (kushoto), akiwa kwenye pozi na Haji Ramadhani mshiriki wa BSS 2010.


Jokate Mwegelo (katikati), akifuatilia zoezi hilo na DJ Mully B wa Clouds FM (kulia). Kushoto ni mshikaji wao, Alice.


Vijana wa THT wakifanya makamuzi yao.


Chid Benz naye hakuwa nyuma kuonyesha ushirikiano.


Mwanamuziki kutoka THT Linah (mbele), akiimba na kucheza na mmoja wa mashabiki wake.


Geez Mabovu, akiimba kwa hisia kali mahali hapo.


Amini wa THT (nyuma) akinogesha uzinduzi huo na Bella Kombo wa BSS.


Chid Benz akiwa kwenye pozi na Mwasiti.


Mwanamuziki Barnaba akiwa amekumbatiana na Mwasiti nje ya ukumbi

0 comments: