Dj Mahili wa Clouds FM Muly B (kulia), akiwa kwenye pozi na rafiki yake. Washiriki wa Bss 2010 Chiby Dayo na Bella Kombo, wakiwa kwenye pozi. Mwanamuziki wa Bongo fleva Hawa, akifuatilia uzinduzi huo kwa makini. Balozi wa Kiswahili Rehema Fabian (kushoto),akiwa na rafiki yake Sinyolita.
Mwanamuziki toka Lebo ya Sharobaro Record, Diamond, akionyesha utulivu wake Ukumbini hapo kwa kujipoza na Red Blue. Warembo katika pozi. Mo Racka akiwajibika jukwaani katika uzinduzi huo. Shughuli ilikuwa pevu kwa Mo Racka, kama hivi. Mrembo akionyesha ujuzi wake wa kucheza staili ya Kiduku. Mataluma (nyuma), akisindikizwa na mrembo huyo kusakata Kiduku. Amini mwenye 'mic' katikati akiwa amezungukwa na mashabiki zake.
0 comments:
Post a Comment