Usiku wa kuamkia leo kulifanyika onesho la taarabu la Mitikisiko ya Pwani katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. Katika onesho hilo, lililoandaliwa na kituo cha redio cha Times FM vikundi kadhaa vya muziki wa taarabu viliburudisha. Pichani ni mashabik wakirusha roho katika onesho hilo.
Msichana ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akimkatia viuno kijana mmoja ambaye ni mlemavu.
Mshereheshaji wa onyesho hilo, Hadija Shaibu ‘Dida’ akipiga ‘drum’.
Bi Kidude akijiweka sawa kabla ya kukabidhiwa ‘maiki’kuimba.
Bi Kidude akiimba wimbo wa Muhogo wa Jang’ombe.
Mtangazaji wa Times FM ambaye pia ni Afisa Habari wa timu yasoka ya Simba SC ya jijini Dar es Salaam, Cliford Ndimbo (kushoto) akiwa na msanii wa filamu, Bi Hindu, wakifuatilia onesho hilo.
0 comments:
Post a Comment