Social Icons

Monday, December 13, 2010

Unique Model waingia kambini


Baadhi ya warembo hao wakipozi kwenye bango la Global Publishers.
WAREMBO wanatarajia kushindania taji la Giraffe Unique Model wameingia kambini leo katika Hotel ya Giraffe iliyoko Kunduchi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya shindano ambalo litafanyika Desemba 24 mwaka huu


Mkurugenzi wa Unique Entertainment, Methuselah Magese, akiongea na waandishi wa habari kuhusu kambi ya warembo hao.

Mwakilishi wa Mohamed Entertainment Zainul Mzige (kulia) akimkabidhi zawadi ya vitenge Mkurugenzi wa Unique Model, Methuselah Magese.

0 comments: