Social Icons

Thursday, December 16, 2010

MAELFU WAJITOKEZA KUMZIKA DK. REMMY

Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es salaam, leo hii wameshiriki katika maziko ya mwanamuziki maarufu nchini, Dk.Remmy Ongala aliyefariki dunia, mapema wiki hii. Ongala amezikwa katika makaburi ya Sinza, ambayo yapo jirani kna nyumbani kwake.

Baadhi ya wakazi wa Dar, wakishirikiana na wanafamilia kubeba jeneza la marehemu tayari kwa mazishi.

Picha ya kumbukumbu ya Marehem DK. Remmy ikiwa imeshikiliwa na baadhi ya ndugu.


umati wa watu ukishuhudia zoezi hilo makaburini.


Mjane wa marehemu Toni Ongala, akiweka mchanga kaburini.


Mmoja wa watoto wa kike wa marehemu Aziza Ongala, akimzika baba yake.


Baadhi ya waombolezaji wakiondoa ubao kaburini tayari kwa kumwagwa zege.


Mmoja wa Wanajeshi aliyekuwa miongoni mwa Marafiki wa karibu wa Dk. Remmy waliohudhuria maziko yake.


Baadhi ya wakazi wa Dar, kutoka nchi mbalimbali walihudhuria mazishi hayo.


Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Azam FC, wakiwa makaburini.

0 comments: