akina dada wakiwa katika ukumbi wa starehe Makumbusho
Asikudanganye mtu, Jiji la Dar usiku hasa siku za wikiendi ni burudani kwa kwenda mbele. Akina dada hawa ni miongoni mwa wapenda burudani walionaswa na mpiga picha wetu wakijirusha kwenye kiwanja cha maraha cha Makumbusho, Kijitonyama kwa kuserebuka na midundo ya Bendi ya Shengen Academy ambayo ilizinduliwa hivi kaibuni.
Wakiserebuka huku wakiwa bwii kwa ulabu.
Mama huyu akiwa na baunsa wake akimtahadharisha Benny Kinyaia na kumtaka amwache aserebuke, asimsogelee.
Benny akijitetea baada ya kupigwa mkwara na jimama hilo.
0 comments:
Post a Comment