Mshindi wa pili wa kinyang'anyiro cha Project Fame 2010, Peter Msechu leo amewasili nchini akitokea Nairobi Kenya, ambako shindano hilo lilifanyika, na kufikia tamati Jumapili iliyopita.
Msechu akiandamana na weyeji wake kutoka Serengeti Breweries. Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Serengeti Teddy Mapunda na anayemfuata ni meneja masoko Bahati Singh, na (kulia) ni Kaka yake Msechu.
Msechu akiwa na mashabiki wake mara baada ya kutua.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana na Michezo, Prefesa Hermas (wa pili kushoto) akiongea na wanahabari muda mfupi baada ya Msechu kutua.
Msechu katika pozi.
Msechu akisalimiana na Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa, Ghonche Materego.
Msechu akimbusu laazizi wake Amariss mara baada ya ya kumuona.
Msechu akiwa ndani ya gari alilokuwa ameandaliwa.
0 comments:
Post a Comment