BAADA ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru wa miaka 49 katika Uwanja wa Uhuru, Dar hapo jana kumalizika, tukio lililofuata baadaye ilikuwa ni kupongezana katika Viwanja vya Ikulu, ambapo Rais Jakaya Kikwete alikuwa ameandaa sherehe fupi kwa ajili ya Viongozi mbalimbali na wageni waalikwa.

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal (kushoto) akiwa na Prof. Ibrahim Lipumba na James Mbatia katika sherehe hizo.

Mhariri Mwandamizi wa Global Publishers, Sifael Paul (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami (wa pili kushoto) na baadhi ya wageni wengine waalikwa.

Rais Jakaya Kikwete akifurahi pamoja na viongozi mbalimbali. Kulia ni Makamu wa Kwanza wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad.

Rais Kikwete akimsikiliza mmoja wa wageni waalikwa.

Mama Salma Kikwete (katikati) akibadilishana mawazo na wageni waalikwa.

Mzee Mwinyi akiburudika na wageni waalikwa.

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Shein akibadilishana mawazo na wageni waalikwa.

Spika wa Bunge, Anna Makinda (kulia) akisalimiana na mmoja wa wageni waalikwa.

Maalim Seif akiwa na uso wa furaha katika sherehe hiyo.

Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhiria sherehe hiyo.

Dk. Bilal (kushoto) akisalimiana na Maalim Seif Sharif.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (katikati) akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif.

Ngoma ya asili kutoka Mkoani Mara maarufu kama 'Rilandi' ikitoa burudani katika sherehe hiyo.

0 comments:
Post a Comment