Mganga wa timu ya Kilimanjari Stars DK. Mwankem, akiunda pozi na kombe hilo.
Mkurugenzi wa NA & NA Internet Cafe Arthur,akiwa ameshilia Kombe hilo.
Golikipa wa Timu ya Kilimanjaro Stars Said Mohamed, akiwa kwenye pozi na kombe hilo ndani ya Hotel ya Atriums Sinza jijini Dar es Salaam.
Mateja20, akipozi na kombe hilo.
Mmoja wa wafanyakazi wa Atriums Hotel (katikati),akiwa kwenye pozi na wachezaji wa timu hiyo.
Kiti meneja wa timu hiyo Fred Chimella, akiwa ameshikilia kombe hilo.
Meneja wa Atriums Hotel HudsonMusalali akijiachia na kikombe hicho.
Musalali (katikati), akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa timu hiyo.

0 comments:
Post a Comment