skip to main |
skip to sidebar
PINDA AMJULIA HALI MBUNGE WA MPANDA KATI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Jimbo la Mpanda Kati, Said Arfi alipomtembelea jana katika hospitali ya Aga Khan iliyopo jijini Dar es Salaam alipolazwa.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment