KAMERA ya mtandao huu leo asubuhi ilimnasa mwananchi aliyekuwa na mkokoteni akiwa la lundo la miti ya Krismas inayotumika kupamba nyumba wakati wa sikukuu hiyo. Miti hiyo hujulikana kama “Miti ya Krismas”.
Mwananchi huyo alipoulizwa na mtandao wetu alisema miti hiyo ameitoa juu ya milima ya Uluguru na alikuwa anaipeleka nyumbani kwa mteja wake maeneo ya Nunge.
0 comments:
Post a Comment