Usiku wa kuamkia leo MTV ilifanya pati kwa ajili ya wasanii wa Afrika Mashariki wanaowania tuzo za MAMA 2010 (MTV Africa Music Awards 2010) zitakazofanyika nchini Nigeria baadae mwezi huu. Katika pati hiyo iliyofanyika Maisha Club, wasanii P-Unit kutoka Kenya, Radio and Weasel kutoka Uganda, Diamond kutoka Tanzania na wengine wengi walikuwepo. PICHANI ni P-Unit wakiwa na TID (wa pili kulia) na Diamond (mwisho kushoto), wakishoo luv!
Radio n Weasel katika pozi
wawakilishi wa MTV Tanzania Sven (kulia) na Amby
Madam Ritta (wa pili kulia) akiwa na Ali Kiba, Shaa na Master Jay
Profesa Jay akiwa na P-Unit
Meneja Masoko wa Airtel Tanzania, Kelvin Twissa (kati) akiwa na wasanii Marlaw (kulia) na Ali Kiba
wadau wa burudani wakijiachia
watangazaji wa Clouds FM B12 na DJ fetty (shoto)
Meneja Uhusiano wa Airtel, Mutta Muganyizi (kushoto aliyesimama) akiwa na designer wa nguo Ally Remtulla
CodeRed Dj's in action....!
Diamond na dansa wake
Weasel n Radio wakigawisha mashabiki
Diamond na dansa wake wakifanya vitu vyao
wasanii Shaa (kulia), Marlaw na DJ fetty
0 comments:
Post a Comment