Mfungaji wa mabao hayo, Nurdini Bakari akishangilia mara baada ya kufunga goli la kwanza huku akifuatwa na Henry Joseph.
Timu ya soka ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, jana imetinga kwa kishindo robo fainali ya Kombe la Challenge baada ya kuitandika timu ya Burundi kwa mabao 2-0
Mrisho Ngassa akiambaa na mpira kabla ya kupiga krosi ambayo iliunganishwa wavuni na Nurdini Bakari.
Kavumbagu Didier wa Burundi (Mwenye jezi nyekundu) akienda chini baada ya kulambwa chenga na Mrisho Ngasa wa Kilimanjaro Stars.
0 comments:
Post a Comment