Asha Bui, katika pozi. B12 (katikati), akiwakwenye pozi na warembo, na mwisho (kulia) ni Marlow. Balozi wa Kiswahili Rehema Fabian katika pozi. Sinyolita, akifuatilia shoo ya Diamond. Jokate na wenzake fakishuhudia shoo hiyo. Mrembo akiserebuka. Huyu naye midadi ilizidi akatamani kuvua nguo namna hii. Warembo wakijiachia. Rehema na Sinyolita wakionyeshana kitu katika simu. Adam Mchomvu na Salama Jabir wakisimliana jambo. Ali Kiba & Salama. Jokate & Joa Makini. Mrembo akionyesha Swagger zake. Aku... hata mie naweza Swagger baaanaaa!!!!!!!! Elicy katika pozi. Alicy akiwa na group la Ma'M0del. Unaona Baanaaa... Ma-DJ kutoka Kenya wakiwa katika Pozi. Ali Kiba, Diamond na Marlow katika pozi. Diamond,Joa Makini na rafiki yao. Joa Makini & Diamond. Diamond akionyesha Swagger zake. Diamond kama Michael Jackson!!! Joa Makini na washikaji zake toka A-Town. Dj Choka katika pozi.
0 comments:
Post a Comment