
Mchezaji wa timu ya Soka ya Malawi, Ivis Kapoteka akitolewa nje baada ya kuvunjika mkono, mchezaji huyo alikimbizwa hospitalini.
Kivumbi cha Robo fainali ya michuano ya Kombe la Chalenji ambayo inaendelea Uwanja wa Taifa, leo kilizikutanisha timu za Ivory Coast na Malawi. Katika mchezo huo Malawi imebugizwa goli moja, hivyo kutololewa kwenye mashindano hayo.

Mshambuliaji wa Ivory Coast, Goua Mahan akimpita mlinzi wa timu ya soka ya Malawi, Zacher Mnongoneza (mwenye jezi nyekundu)

Pamoja na kiingilio katika mechi hiyo kuwa shilingi 1000, mashabiki wachache walijitokeza kushuhudia mechi hiyo.
0 comments:
Post a Comment