Social Icons

Monday, December 6, 2010

JK AKUTANA NA HOSNI MUBARAK


JK akizungumza na mwenyeji wake, Rais Hosni Mubarak wa Misri Ikulu ya jijini Cairo, wakati Rais Kikwete aliposimama kwa muda akiwa njiani kuelekea mjini Brussels Ubelgiji kuhudhuria mkutano wa maendeleo ya

Uchumi.


JK akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na vikosi vya ulinzi vya Misri wakati Rais Kikwete aliposimama kwa muda jijini Cairo na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Hosni Mubarak akiwa njiani kuelekea Brussels Ubelgiji kuhudhuria mkutnao wa Maendeleo ya Uchumi.



0 comments: