Waziri Salum mshiriki mwenye namba BSS 11 (kushoto) akipiga stori na Pelucy Joktan.
MAPEMA leo kamera yetu imebahatika kujipenyeza katika mjengo unaotumiwa kwa kambi ya washiriki wa shindano la Bongo Star Search huko Mikocheni B jijini Dar es Salaam na kubahatika kupata baadhi ya picha zinazoonyesha maisha halisi ya washiriki hao kambini hapo.
Juma Malki akivaa kiatu tayari kwa mazoezi.
Chibi Dayo, BSS 4 (kushoto), akibadilishana mawazo na mshriki mwenzake Bella Kombo, BSS 2.
Waziri Salum (kushoto) akipiga stori na Chibi Dayo nje kidogo ya chumba chao cha kulala.
James Martin (kushoto) akiosha vyombo na Waziri Salum.
Msimamizi mkuu wa mchakato huo Eveline (kushoto) akijadiliana jambo na mkufunzi wa washiriki hao.
Bella Kombo akipanga vyombo jikoni muda mfupi baada ya kumaliza kuviosha.
Shaffi Zubery akifanya mazoezi ya kupiga gitaa.
Nyumba wanayoitumia.
James Martin akipiga mswaki muda mfupi baada ya kutoka kitandani.
2 comments:
safii sana
babkubwa
Post a Comment