Kibabu huyo akiwa amevishwa nguo.
MZEE moja ambaye jina lake halikupatikana,jana alinusurika kufa baada ya wananchi wenye hasira kutaka kumchoma moto baada ya kudai walimkuta akiwanga usiku wa manane kwenye nyumba moja eneo la Mfisa mkoani hapa.
Wananchi hao waliokuwa na silaha mbalimbali, walitaka kumwadhibu kibabu huyo wakidai ni mwanga, watu ambao ndiyo chanzo cha matatizo katika jamii.
Hata hivyo, viongozi wa mtaa huo walifika na kumchukua mtu huyo ambaye awali alikuwa amegoma kuvaa nguo.

.....Akiingizwa katika karandinga.
Safari kwenda kwa 'Pilato' imeiva huku akizomewa
2 comments:
Haa! mateja huyo mzee umempiga wewe picha au umetumiwa na jamaa zako
Jamani huyo alikosa cha kufanya hadi akaamua kwenda kuwanga kwa jirani yake duh! kusema kweli mi sina huruma na watu kama hao kama vp naye asurubiwe me Jamilah wa Igogo Mwanza
Post a Comment